Font Size
Mathayo 27:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 27:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
10 Walizitumia sarafu hizo thelathini za fedha kununulia shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniamuru.”[a]
Gavana Pilato Amhoji Yesu
(Mk 15:2-5; Lk 23:3-5; Yh 18:33-38)
11 Yesu alisimama mbele ya Gavana, Pilato, ambaye alimwuliza Yesu, “Wewe ni mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akajibu, “Waweza kusema hivyo.”
12 Lakini viongozi wa makuhani na viongozi wazee wa Kiyahudi walipomshutumu, hakusema kitu.
Read full chapterFootnotes
- 27:9-10 Walichukua … alivyoniamuru Tazama Zek 11:12-13; Yer 32:6-9.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International