Add parallel Print Page Options

Hivyo wakaamua kutumia fedha hiyo kwa kununulia shamba linaloitwa Shamba la Mfinyanzi kwa ajili ya kuwazikia wageni wanapokufa wakiwa ziarani katika mji wa Yerusalemu. Ndiyo sababu eneo hilo bado linaitwa Shamba la Damu. Hili lilitimiza maneno ya nabii Yeremia aliposema:

“Walichukua sarafu thelathini za fedha. Hicho ni kiasi ambacho Waisraeli waliamua kulipa kwa ajili ya uhai wake.

Read full chapter