Add parallel Print Page Options

Ndiyo sababu eneo hilo bado linaitwa Shamba la Damu. Hili lilitimiza maneno ya nabii Yeremia aliposema:

“Walichukua sarafu thelathini za fedha. Hicho ni kiasi ambacho Waisraeli waliamua kulipa kwa ajili ya uhai wake. 10 Walizitumia sarafu hizo thelathini za fedha kununulia shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniamuru.”[a]

Read full chapter

Footnotes

  1. 27:9-10 Walichukua … alivyoniamuru Tazama Zek 11:12-13; Yer 32:6-9.