Font Size
Mathayo 4:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 4:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
10 Yesu akamjibu Shetani akamwambia, “Ondoka kwangu Shetani! Kwani Maandiko yanasema, ‘Umwabudu Bwana Mungu wako na umtumikie yeye peke yake!’”(A)
11 Baada ya hayo, Shetani akamwacha. Ndipo malaika wakaja kumhudumia.
Yesu Aanza Kazi yake Galilaya
(Mk 1:14-15; Lk 4:14-15)
12 Yesu aliposikia kuwa Yohana alikuwa amefungwa gerezani, alirudi katika wilaya ya Galilaya.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International