Font Size
Mathayo 4:22-24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 4:22-24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
22 Mara moja wakaiacha mashua pamoja na baba yao na wakamfuata Yesu.
Yesu Afundisha na Kuponya Watu
(Lk 6:17-19)
23 Yesu alikwenda sehemu zote za Galilaya, akifundisha na akihubiri Habari Njema katika masinagogi kuhusu Ufalme wa Mungu. Aliponya magonjwa yote na madhaifu mengi ya watu. 24 Habari kuhusu Yesu zilienea katika nchi yote ya Shamu, na watu waliwaleta wale wote wenye kuteswa na magonjwa na maumivu mbalimbali. Baadhi yao walikuwa na mashetani, wengine walikuwa na kifafa na wengine walikuwa wamepooza. Yesu akawaponya wote.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International