Add parallel Print Page Options

Shetani akamwambia Yesu, “Ukiinama na kuniabudu, nitakupa vitu hivi vyote.”

10 Yesu akamjibu Shetani akamwambia, “Ondoka kwangu Shetani! Kwani Maandiko yanasema, ‘Umwabudu Bwana Mungu wako na umtumikie yeye peke yake!’”(A)

11 Baada ya hayo, Shetani akamwacha. Ndipo malaika wakaja kumhudumia.

Read full chapter