Font Size
Mathayo 5:26-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 5:26-28
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
26 Ninakuhakikishia kuwa hautatoka huko mpaka umelipa kila kitu unachodaiwa.
Yesu Afundisha Kuhusu Uzinzi
27 Mmesikia ilisemwa kuwa, ‘Usizini’.(A) 28 Lakini ninawaambia kuwa mwanaume akimwangalia mwanamke na akamtamani, amekwisha kuzini naye katika akili yake.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International