Font Size
Mathayo 5:39-41
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 5:39-41
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
39 Lakini ninawaambia msishindane na yeyote anayetaka kuwadhuru. Mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto pia. 40 Mtu akitaka kukushitaki ili akunyang'anye shati, mpe na koti pia. 41 Askari akikulazimisha kwenda naye maili moja,[a] nenda maili mbili pamoja naye.
Read full chapterFootnotes
- 5:41 maili moja Kama kilomita moja na nusu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International