Add parallel Print Page Options

40 Mtu akitaka kukushitaki ili akunyang'anye shati, mpe na koti pia. 41 Askari akikulazimisha kwenda naye maili moja,[a] nenda maili mbili pamoja naye. 42 Mpe kila anayekuomba, usimkatalie anayetaka kuazima kitu kwako.

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:41 maili moja Kama kilomita moja na nusu.