Font Size
Mathayo 5:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 5:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
5 Heri kwa walio wapole.
Kwa kuwa watairithi nchi.[a]
6 Heri kwa wenye kiu na njaa ya kutenda haki.[b]
Kwa kuwa Mungu ataikidhi kiu na njaa yao.
7 Heri kwa wanaowahurumia wengine.
Kwa kuwa watahurumiwa pia.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International