Add parallel Print Page Options

Heri kwa wanaowahurumia wengine.
    Kwa kuwa watahurumiwa pia.
Heri kwa wenye moyo safi,[a]
    Kwa kuwa watamwona Mungu.
Heri kwa wanaotafuta amani.[b]
    Kwa kuwa wataitwa watoto wa Mungu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:8 wenye moyo safi Au wenye mawazo safi ama wenye kukusudia mema moyoni, ama wenye nia njema moyoni.
  2. 5:9 wanaotafuta amani Au “wapatanishi wa watu waliofarakana”.