Add parallel Print Page Options

Heri kwa wanaotafuta amani.[a]
    Kwa kuwa wataitwa watoto wa Mungu.
10 Heri kwa wanaoteswa kwa sababu ya kutenda haki.
    Kwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.

11 Heri kwenu ninyi pale watu watakapowatukana na kuwatesa. Watakapodanganya na akasema kila neno baya juu yenu kwa kuwa mnanifuata mimi.

Read full chapter

Footnotes

  1. 5:9 wanaotafuta amani Au “wapatanishi wa watu waliofarakana”.