Font Size
Mathayo 6:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 6:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Hivyo unapowapa maskini, mtu yeyote asijue unachofanya.[a] 4 Kutoa kwako kunapaswa kufanyika sirini kwa kuwa Baba yako huona mambo yanayofanywa sirini, naye atakupa thawabu.
Yesu Afundisha Kuhusu Maombi
(Lk 11:2-4)
5 Mnapoomba, msiwe kama wanafiki. Wanapenda kusimama kwenye masinagogi na kwenye pembe za mitaa na kuomba kwa kupaza sauti. Wanapenda kuonwa na watu. Ukweli ni kuwa hiyo ndiyo thawabu yote watakayopata.
Read full chapterFootnotes
- 6:3 asijue unachofanya Kwa maana ya kawaida, “Mkono wako wa kushoto usijue kile ambacho mkono wako wa kushoto unafanya.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International