Font Size
Mathayo 9:24-26
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 9:24-26
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
24 Yesu akasema, “Ondokeni. Msichana hajafa. Amelala tu.” Lakini watu wakamcheka. 25 Baada ya watu kutolewa nje ya nyumba, Yesu aliingia kwenye chumba cha msichana. Aliushika mkono wa msichana na msichana akasimama. 26 Habari kuhusu jambo hili ilienea kila mahali katika eneo lile.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International