67 Kisha wakamtemea mate usoni; wengine wakampiga ngumi na makofi,
68 wakasema, “Hebu toa unabii wewe Kristo! Ni nani ame kupiga?”
Copyright © 1989 by Biblica