Add parallel Print Page Options

10 Mwepuke mtu anayesababisha matengano baada ya onyo la kwanza na la pili, 11 kwa sababu unajua kuwa mtu wa jinsi hiyo amepotoka na anatenda dhambi. Amejihukumu mwenyewe.

Maelekezo ya Mwisho na Salamu

12 Nilipomtuma kwako Artema au Tikiko, jitahidi kuja Nikopoli ili kuonana nami, kwa sababu nimeamua kukaa huko wakati wa msimu wa baridi.

Read full chapter