Add parallel Print Page Options

13 Jitahidi kumsaidia mwanasheria Zena pamoja na Apolo kwa lo lote watakalohitaji kwa ajili ya safari yao, ili wasipungukiwe na kitu cho chote. 14 Watu wetu wanapaswa kujifunza kujihusisha katika kutenda mema ili kusaidia kukitokea mahitaji, ili wasiwe watu wasiokuwa na manufaa.

15 Wote nilio pamoja nami wanakusalimu. Uwasalimu wote wanaotupenda katika imani.

Neema ya Mungu iwe nanyi nyote.

Read full chapter