Add parallel Print Page Options

14 Watu wetu wanapaswa kujifunza kujihusisha katika kutenda mema ili kusaidia kukitokea mahitaji, ili wasiwe watu wasiokuwa na manufaa.

15 Wote nilio pamoja nami wanakusalimu. Uwasalimu wote wanaotupenda katika imani.

Neema ya Mungu iwe nanyi nyote.

Read full chapter