Font Size
Tito 3:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Tito 3:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Lakini wakati wema na upendo wa Mungu Mkombozi wetu ulipodhihirishwa, 5 ali tuokoa, si kwa sababu ya matendo mema ya haki tuliyotenda, bali kwa sababu ya huruma yake. Alituokoa kwa kuoshwa na kuzaliwa mara ya pili na kufanywa wapya kwa njia ya Roho Mtakatifu, 6 ambaye Mungu alitumiminia kwa wingi kwa njia ya Yesu Kristo Mwokozi wetu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica