13 mdalasini, hiliki, uvumba, marhamu, ubani, divai, mafuta ya mzeituni, unga mzuri, ngano, ng’ombe, kondoo, farasi na magari, na watumwa, pia na roho za wanadamu. 14 Watasema, ‘Yale matunda ambayo roho yako iliy atamani yametoweka, na utajiri wako wote na ufahari vimetoweka, wala hutavipata kamwe!’

15 Wale wafanya biashara wa bidhaa hizo waliopata utajiri wao kwake watasimama mbali kabisa kwa kuogopa mateso yake, nao watalia na kuomboleza kwa nguvu wakisema,

Read full chapter