Font Size
Ufunua wa Yohana 18:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 18:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 Nao watajimwagia vumbi vichwani na kulia na kuomboleza wakisema, ‘Ole wako, Ole wako mji mkuu, mji ambapo wote wenye meli baharini walitajirika kwa mali yake! Maana katika saa moja tu umeteketezwa. 20 Fura hini juu yake, enyi mbingu, watakatifu na mitume na manabii; Kwa kuwa Mungu ameuhukumu kwa ajili yenu!”’
21 Kisha malaika mkuu akachukua jiwe kama jiwe kubwa la kusagia akalitupa baharini akisema, ‘ ‘Hivyo ndivyo mji mkuu wa Babiloni utakavyotupwa chini kwa nguvu wala hautaonekana kamwe.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica