Font Size
Ufunua wa Yohana 19:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 19:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Macho yake ni kama miali ya moto na juu ya kichwa chake kuna vilemba vingi; na ameandikwa jina ambalo hakuna mwingine anayeli jua isipokuwa yeye mwenyewe. 13 Amevaa vazi lililochovywa katika damu na jina analoitwa ni “Neno la Mungu”. 14 Na majeshi ya mbinguni yaliyovaa kitani safi nyeupe walimfuata wakiwa wamepanda farasi weupe.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica