Font Size
Ufunua wa Yohana 19:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 19:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Amevaa vazi lililochovywa katika damu na jina analoitwa ni “Neno la Mungu”. 14 Na majeshi ya mbinguni yaliyovaa kitani safi nyeupe walimfuata wakiwa wamepanda farasi weupe.
15 Kinywani mwake mlitoka upanga mkali wa kuyapiga mataifa. Atawatawala kwa fimbo ya chuma na kukamua divai katika mtambo wa kutengenezea divai ya ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica