Font Size
Ufunua wa Yohana 19:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 19:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 Maana hukumu zake ni za kweli na haki, amemhukumu yule kahaba mkuu aliyeuharibu ulimwengu kwa uasherati wake. Mungu amelipiza kisasi kwa ajili ya damu ya watumishi wake.” 3 Kwa mara nyingine wakasema kwa nguvu, “Hale luya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.” 4 Wale wazee ishirini na wanne pamoja na wale viumbe wanne wenye uhai walianguka kifudifudi wakamwabudu Mungu aliyekuwa ameketi katika kiti cha enzi. Wakasema kwa sauti kuu, “Amina! Hale luya!”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica