Font Size
Ufunua wa Yohana 19:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 19:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
3 Kwa mara nyingine wakasema kwa nguvu, “Hale luya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.” 4 Wale wazee ishirini na wanne pamoja na wale viumbe wanne wenye uhai walianguka kifudifudi wakamwabudu Mungu aliyekuwa ameketi katika kiti cha enzi. Wakasema kwa sauti kuu, “Amina! Hale luya!”
5 Na sauti ikatoka katika kile kiti cha enzi ikisema, “Msi funi Mungu wetu ninyi watumishi wake wote, nyote mnaomcha, wadogo kwa wakubwa.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica