Font Size
Ufunua wa Yohana 20:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 20:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Bahari zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na kifo na kuzimu nazo zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na wote wakahukumiwa kwa matendo yao. 14 Kisha mauti na kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hiki ndicho kifo cha pili, yaani ziwa la moto. 15 Na kama jina la mtu halikukutwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica