14 Kisha mauti na kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hiki ndicho kifo cha pili, yaani ziwa la moto. 15 Na kama jina la mtu halikukutwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika lile ziwa la moto.

Read full chapter