Font Size
Ufunua wa Yohana 21:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 21:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Basi, nikiwa katika Roho, akanipeleka mbali kwenye mlima mkubwa na mrefu, akanionyesha ule mji mtakatifu, Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu. 11 Ulikuwa na utukufu wa Mungu, uking’aa kama kito cha thamani sana, kama yaspa, na safi kama kioo. 12 Ulikuwa na ukuta mkubwa mrefu wenye milango kumi na mbili na malaika kumi na wawili milangoni. Kwenye milango hiyo yaliandikwa majina ya yale makabila kumi na mawili ya Israeli .
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica