Font Size
Ufunua wa Yohana 21:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 21:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Ulikuwa na ukuta mkubwa mrefu wenye milango kumi na mbili na malaika kumi na wawili milangoni. Kwenye milango hiyo yaliandikwa majina ya yale makabila kumi na mawili ya Israeli . 13 Ilikuwapo milango mitatu mashariki, mitatu kaskazini, mitatu kusini na mitatu magharibi. 14 Ukuta wa mji huo ulikuwa na mis ingi kumi na mbili na juu yake yaliandikwa majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-Kondoo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica