Font Size
Ufunua wa Yohana 21:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 21:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Ilikuwapo milango mitatu mashariki, mitatu kaskazini, mitatu kusini na mitatu magharibi. 14 Ukuta wa mji huo ulikuwa na mis ingi kumi na mbili na juu yake yaliandikwa majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-Kondoo.
15 Huyo malaika aliyesema nami alikuwa na kipimo cha dhahabu cha kupimia huo mji na milango yake na kuta zake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica