Font Size
Ufunua wa Yohana 21:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 21:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Ukuta wa mji huo ulikuwa na mis ingi kumi na mbili na juu yake yaliandikwa majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-Kondoo.
15 Huyo malaika aliyesema nami alikuwa na kipimo cha dhahabu cha kupimia huo mji na milango yake na kuta zake.
16 Mji huo ulikuwa wa mraba, marefu yake yakilingana na mapana yake. Akaupima mji huo kwa hicho kipimo chake; ulikuwa kama kilometa elfu mbili na mia nne kwa upana wake, na urefu wake pamoja na kina chake vilikuwa sawa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica