Font Size
Ufunua wa Yohana 6:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 6:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Anga ikatoweka kama vile karatasi inav yosokotwa; na kila mlima na kila kisiwa vikaondolewa mahali pake.
15 Ndipo wafalme wa duniani, wakuu wote, majemadari, mata jiri , wenye nguvu; na kila mtu, mtumwa na aliye huru, wakajifi cha mapangoni na kwenye miamba ya milima. 16 Wakaisihi milima na miamba wakisema, “Tuangukieni, mkatufiche tusionwe na uso wake yeye aketiye kwenye kiti cha enzi na mtuepushe na ghadhabu ya Mwana-Kondoo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica