Font Size
Ufunua wa Yohana 6:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 6:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
3 Mwana-Kondoo alipofungua muhuri wa pili, nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!” 4 Akatoka farasi mwingine mwekundu sana na aliyempanda alipewa uwezo wa kuondoa amani duniani na kuwafanya watu wauane. Yeye alipewa upanga mkubwa.
5 Mwana-Kondoo alipofungua muhuri wa tatu, nilimsikia yule kiumbe hai wa tatu akisema, “Njoo!” Nikaangalia na mbele yangu nikaona farasi mweusi, na aliyempanda alikuwa na mizani mkononi mwake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica