Font Size
Ufunua wa Yohana 6:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 6:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Mwana-Kondoo alipofungua muhuri wa tatu, nilimsikia yule kiumbe hai wa tatu akisema, “Njoo!” Nikaangalia na mbele yangu nikaona farasi mweusi, na aliyempanda alikuwa na mizani mkononi mwake. 6 Nikasikia kitu kama sauti kati ya hao viumbe wanne hai, ikisema, “Kibaba kimoja cha ngano kwa mshahara wa siku moja! na vibaba vitatu vya shayiri kwa mshahara wa siku moja! Lakini usi haribu mafuta wala divai!”
7 Mwana-Kondoo alipofungua muhuri wa nne, nilisikia sauti ya yule kiumbe hai wa nne ikisema, “Njoo!”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica