Font Size
Ufunua wa Yohana 7:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 7:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Watu 144,000 Wawekewa Muhuri
7 Baada ya haya nikaona malaika wanne wamesimama katika pembe zote nne za dunia wakizuia pepo nne za dunia, ili upepo usivume nchi kavu wala baharini wala kwenye mti wo wote. 2 Kisha nikaona malaika mwingine akija kutoka mashariki akiwa na muhuri wa Mungu aliye hai. Akawaita kwa sauti kuu wale malaika waliokuwa wamepewa mamlaka kuidhuru nchi na bahari, akisema,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica