Font Size
Ufunua wa Yohana 7:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 7:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Nao walikuwa wakisema kwa sauti kuu, “Ukombozi hutoka kwa Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na kwa Mwana-Kondoo!” 11 Na wale malaika wote wakasi mama kuzunguka kile kiti cha enzi na wale wazee na wale viumbe hai wanne, wakaanguka chini mbele ya kile kiti cha enzi wakamwab udu Mungu, 12 wakisema, “ Amina! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na nguvu na uweza ni za Mungu wetu milele na milele! Amina”.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica