12 wakisema, “ Amina! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na nguvu na uweza ni za Mungu wetu milele na milele! Amina”. 13 Kisha mmoja wa wale wazee akaniuliza, “Hawa watu waliovaa mavazi meupe, ni kina nani? Nao wametoka wapi?” 14 Nikamjibu, “Bwana, wewe ndiye unayefahamu.” Naye akasema, “Hawa ni wale waliotoka katika ile dhiki kuu; wameosha mavazi yao katika damu ya Mwana-Kondoo yakawa meupe kabisa.

Read full chapter