Font Size
Ufunua wa Yohana 7:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 7:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Kisha mmoja wa wale wazee akaniuliza, “Hawa watu waliovaa mavazi meupe, ni kina nani? Nao wametoka wapi?” 14 Nikamjibu, “Bwana, wewe ndiye unayefahamu.” Naye akasema, “Hawa ni wale waliotoka katika ile dhiki kuu; wameosha mavazi yao katika damu ya Mwana-Kondoo yakawa meupe kabisa. 15 Kwa hiyo, wanakaa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kumtumikia katika Hekalu lake usiku na mchana; naye aketiye katika kile kiti cha enzi atakuwa pamoja nao na kuwalinda.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica