Font Size
Ufunua wa Yohana 7:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 7:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Nikamjibu, “Bwana, wewe ndiye unayefahamu.” Naye akasema, “Hawa ni wale waliotoka katika ile dhiki kuu; wameosha mavazi yao katika damu ya Mwana-Kondoo yakawa meupe kabisa. 15 Kwa hiyo, wanakaa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kumtumikia katika Hekalu lake usiku na mchana; naye aketiye katika kile kiti cha enzi atakuwa pamoja nao na kuwalinda. 16 Kamwe hawataona njaa wala kiu tena; jua wala joto kali halitawachoma tena. Kwa maana Mwana-Kondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchun gaji wao. Naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima; na
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica