15 Kwa hiyo, wanakaa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kumtumikia katika Hekalu lake usiku na mchana; naye aketiye katika kile kiti cha enzi atakuwa pamoja nao na kuwalinda. 16 Kamwe hawataona njaa wala kiu tena; jua wala joto kali halitawachoma tena. Kwa maana Mwana-Kondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchun gaji wao. Naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima; na

Read full chapter