“Msiidhuru nchi wala bahari, wala miti, mpaka tutakapoweka mihuri kwenye vipaji vya nyuso za watumishi wa Mungu wetu.”

Ndipo nikasikia idadi ya wale waliowekewa mihuri, watu 144,000 kutoka katika kila kabila la Waisraeli. Kabila la Yuda, 12,000, kabila la Rubeni 12,000, kabila la Gadi 12,000,

Read full chapter