Font Size
Ufunua wa Yohana 9:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 9:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Tarumbeta Ya Tano
9 Kisha malaika wa tano akapiga tarumbeta yake, nikaona nyota iliyokuwa imeanguka kutoka angani hadi ardhini. Nyota hiyo ili pewa ufunguo wa shimo la kuzimu. 2 Alipolifungua hilo shimo, moshi ulitoka ndani yake kama moshi wa tanuru kubwa sana. Jua na anga vilitiwa giza kwa ajili ya ule moshi uliotoka katika shimo hilo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica