Font Size
Ufunua wa Yohana 9:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 9:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Maafa ya kwanza yamepita; bado mengine mawili yanakuja.
Tarumbeta Ya Sita
13 Malaika wa sita akapiga tarumbeta yake, nami nikasikia sauti ikitoka katika zile pembe nne za madhabahu iliyoko mbele ya Mungu. 14 Sauti hiyo ikamwambia yule malaika wa sita mwenye tar umbeta, “Wafungulie wale malaika wanne waliofungwa kwenye mto mkubwa wa Efrati.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica