Font Size
Ufunuo 20:14-15
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 20:14-15
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
14 Mauti na kuzimu vilitupwa kwenye ziwa la moto. Ziwa hili la moto ni mauti ya pili. 15 Na yeyote ambaye jina lake halikuonekana limeandikwa kwenye kitabu cha uzima alitupwa kwenye ziwa la moto.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International