Add parallel Print Page Options

13 Nyota zikaanguka chini duniani kama mtini uangushavyo tini zake upepo unapovuma. 14 Anga iligawanyika katikati na pande zote zikajiviringa kama kitabu.[a] Na kila mlima na kisiwa kiliondolewa mahali pake.

15 Kisha watu wote wa ulimwengu, wafalme, watawala, makamanda wa majeshi, matajiri, wenye mamlaka na nguvu, kila mtumwa na asiye mtumwa, walijificha katika mapango na nyuma ya miamba milimani.

Read full chapter

Footnotes

  1. 6:14 kitabu Hapa inamaanisha hati ndefu ya kukunja kwa kuvingirisha (vitabu vilivyotumika zamani). Katika Biblia unapoona neno kitabu au vitabu, inamaanisha hati hizi.