Font Size
Ufunuo 7:12-14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 7:12-14
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
12 Walisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, nguvu na uweza ni vyake Mungu wetu milele na milele. Amina!”
13 Kisha mmoja wa wazee akaniuliza, “Watu hawa waliovaa kanzu nyeupe ni akina nani? Wametoka wapi?”
14 Nikajibu, “Wewe unajua ni akina nani, bwana.”
Mzee akasema, “Hawa ni wale waliokuja kutokana na mateso makuu. Wamefua kanzu zao[a] kwa kutumia damu ya Mwanakondoo, wako safi na ni weupe.
Read full chapterFootnotes
- 7:14 Wamefua kanzu zao Inamaanisha kwamba walimwamini Yesu na wamesafishwa dhambi zao kwa sadaka ya yake ya damu. Tazama Ufu 5:9; Ebr 9:14; 10:14-22; Mat 22:16; 1 Yoh 1:7.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International