Add parallel Print Page Options

Moshi kutoka kwenye ubani ukatoka kwenye mikono ya malaika kwenda kwa Mungu. Moshi ukaenda kwa Mungu ukiwa na Maombi ya watakatifu. Kisha malaika akaijaza chetezo moto kutoka madhabahuni na kuitupa chini duniani, kukatokea miali, radi na ngurumo zingine na tetemeko la ardhi.

Sauti ya Tarumbeta ya Kwanza

Kisha malaika saba wenye tarumbeta walijiandaa kupuliza tarumbeta zao.

Read full chapter