Font Size
Ufunuo 8:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 8:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
5 Kisha malaika akaijaza chetezo moto kutoka madhabahuni na kuitupa chini duniani, kukatokea miali, radi na ngurumo zingine na tetemeko la ardhi.
Sauti ya Tarumbeta ya Kwanza
6 Kisha malaika saba wenye tarumbeta walijiandaa kupuliza tarumbeta zao.
7 Malaika wa kwanza alipuliza tarumbeta yake. Mvua ya mawe na moto uliochanyanyikana na damu vilimwagwa chini duniani. Theluthi moja ya dunia na nyasi zote za kijani na theluthi ya miti vikaungua.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International