Font Size
Ufunuo 9:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 9:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
16 Nikasikia kuwa idadi ya askari waliowaendesha farasi walikuwa milioni mia mbili.
17 Katika maono yangu, niliona farasi na waendesha farasi wakiwa juu ya farasi. Walionekana hivi: Walivaa dirii za chuma vifuani mwao zilizokuwa za rangi nyekundu, rangi ya bahari iliyoiva na za rangi ya njano kama baruti. Vichwa vya farasi vilionekana kama vichwa vya simba. Farasi walikuwa wanatoa moto, moshi na baruti katika vinywa vyao. 18 Theluthi ya watu wote duniani walikufa kutokana na mapigo haya matatu yaliyokuwa yanatoka vinywani mwa farasi: moto, moshi na baruti.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International