Font Size
Ufunuo 9:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 9:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Nzige hao walionekana kama farasi walioandaliwa kwa ajili ya mapigano. Vichwani mwao walivaa kitu kilichoonekana kama taji ya dhahabu. Nyuso zao zilionekana kama nyuso za wanadamu. 8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake. Meno yao yalikuwa kama meno ya simba. 9 Vifua vyao vilionekana kama ngao za chuma. Sauti zilizotoka katika mbawa zao zilikuwa kama za farasi wengi na magari ya farasi yaendayo vitani.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International